Wednesday, 19 November 2014

MATATU CONDUCTORS GIVE PERFECT ANSWERS

Crazy responses from Kenyan matatu conductors.

1. An woman complains about the music,
WOMAN : 'Wekeni nyimbo za yesu.'
Conda: Mathee, yesu bado hajatoa album


2. Pass: Kuna kiti ama ni zile uongo zenu?
Conda: Hehe kama ulikua unaogopa kukosa kiti si ungebeba yako.

3. Pass: Bwana hii gari ina joto sana!
Conda: Basi shuka upande fridge.

4. Conda: Madam, kuna seats pale nyuma.
Pass: Siwezi kaa seats za nyuma, Nataka mbele.
Conda: Kwani za nyuma ziko nje ya gari? Basi wacha dere ashuke ukae mbele.

5. Pass: Tao ngapi?
Conda: Mbao.
Pass: Nko na ashuu.
Conda: Iyo nunua avocado ujipake uteleze mpaka tao.

Girl: Ongeza volume tuskie Mwalimu King'ang'i!
Konda: Ungeskiza Mwalimu wa shule ungekua na gari yako si kutusumbua hapa na King'ang'i.

BUTWAA NA BUMBUWAZI!!!

Omondi alipatiwa mtihani wa insha iliokuwa inaanza hivi:
Nilipofika nyumbani nilimpata mama amepigwa na butwaa na bumbuwazi... (endeleza)

Omondi akaendelea hivi...
Kitu ya kwanza mimi nafanya naenda kwa kina butwaa... namtwanga butwa! Natwanga yeye lakini siuwi, sababu yeye ndio tapeleka mimi kwa bumbuazi niulize yeye kwanini walipiga mama yangu... hehe